Wimbo wa Jumuiya Afrika Mashariki

举报

发布于:2025-02-18

更新于:2025-03-01

2

911

National_Anthems_and_More

0M/ 0.1M

作品介绍:

This anthem was adopted in 2010. An organisational anthem of the East African Community. Lyrics: 1. Ee Mungu twaomba ulinde Jumuiya Afrika Mashariki Tuwezeshe kuishi kwa amani Tutimize na malengo yetu Jumuiya Yetu sote tuilinde Tuwajibike tuimarike Umoja wetu ni nguzo yetu Idumu Jumuiya yetu 2. Uzalendo pia mshikamano Viwe msingi wa Umoja wetu Natulinde Uhuru na Amani Mila zetu na desturi zetu Jumuiya Yetu sote tuilinde Tuwajibike tuimarike Umoja wetu ni nguzo yetu Idumu Jumuiya yetu 3. Viwandani na hata mashambani Tufanye kazi sote kwa makini Tujitoe kwa hali na mali Tuijenge Jumuiya bora Jumuiya Yetu sote tuilinde Tuwajibike tuimarike Umoja wetu ni nguzo yetu Idumu Jumuiya yetu

操作说明:

If you experienced asynchronisation or delays, use computer instead, press the green flag again or click the flag to play the sound correctly.

收藏